Nimepata fursa ya kutembelea Bunge mapema leo Dodoma kwa mwaliko wa Ndugu yangu Mhe Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana. Nazidi kupongeza kazi kubwa inayofanywa na Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge la Budget ili kusaidia utekelwzaji wa Ilani ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi unafanikiwa katika serikali ya awamu ya sita ya Jemedari Mhe Samia Suluhu Hassan.
0 Comments