About Me

header ads



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Ofisi ya
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka
2021/2022 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali Bw. Charles Kichere, Ikulu Jijini Dar es
salaam tarehe 29 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Taasisi ya
Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa mwaka
2021/2022 kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo CP.
Salum Hamduni Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 29 Machi,
2023.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi
mbalimbali mara baada ya kupokea Taarifa ya Ofisi ya
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taarifa ya
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU)
kwa mwaka 2021/2022, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29
Machi, 2023.

 

Post a Comment

0 Comments