About Me

header ads

RAIS SAMIA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MUASISI WA ANGOLA,APOKELEWA KIJESHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025.





Post a Comment

0 Comments