About Me

header ads

BREAKING NEWS: DKT. NCHIMBI ATEULIWA KUWA MGOMBEA MWENZA, DKT. MPANGO AOMBA KUKAA KANDO


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Mgombea Mwenza kupitia Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika baadae mwezi Oktoba mwaka huu wa 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ameomba kutogombea nafasi hiyo sanjari na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amepitishwa kutetea kiti cha Urais mwezi Oktoba mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments