Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni (Mb) uzinduzi wa Magari 12 ya kuzimamoto ya kisasa ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mhandisi Hamad Masauni (Mb) akizindua Nyumba za Makaazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni (Mb) akiwana vingozi mbalimbali wa jeshi la zimamoto katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa Magari 12 ya kuzimamoto ya kisasa ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mhandisi Hamad Masauni (Mb) amezindua Nyumba za Makaazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma.
Uzinduzi huo umefanyika sambamba na uzinduzi wa Magari 12 ya kuzimamoto, yakiwemo Magari mawili ya Ngazi yenye uwezo wa kufanya maokozi katika Majengo Marefu yenye urefu wa ghorofa10.
Akimuwakilisha Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Mhandisi Masauni amempongeza Kwa hatua hiyo ya kulitazama Jeshi la Zimamoto Kwa jicho pekee sana nakuongeza Kwa kusema haijawai kutokea Kwa Jeshi hilo kupewa vitendea kazi vya kisasa kama hivyo.
Aidha, Mhe.Masauni kupitia hutuba yake amewataka Askari wa Jeshi hilo kuyatunza Magari hayo ili yadumu kwa Muda mrefu.
Kwa upande wake Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita Kwa kulijengea uwezo Jeshi hilo .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni (Mb) kisikiliza maelezo juu ya utendaji wa magari hayo ya kisasa mara baada ya uzinduzi wa Magari 12 ya kuzimamoto ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma.
Pichani ni baadhi ya Magari 12 ya kisasa ya kuzimamoto ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

0 Comments