Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian
Makonda kwa kushirikiana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo wa
Zanzibar Mhe. Dkt. Riziki Pembe Juma wameteua Wajumbe wa Kamati ya Ndani
(LOC) ya uratibu wa maandalizi ya Mashindano ya Mpira wa Miguu Barani Afrika
(AFCON 2027).



0 Comments