About Me

header ads

BALOZI NCHIMBI NDANI YA NYAMONGO, TARIME

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Nyamongo, Tarime vijijini, aliposimama kuwasalimia wakati akiendelea na ziara yake ya siku tano katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Mara, leo Jumamosi tarehe 26 Aprili 2025.





 

Post a Comment

0 Comments