About Me

header ads

RC RUVUMA AKAGUA MRADI WA MAJI WA BILIONI 1.9 AWAAGIZA RUWASA KUWAINGIZIA MAJI WANANCHI NDANI

 


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimtishwa  ndoo maji mama mmoja  baada ya kukagua mradi wa maji  katika kijiji cha Lipaya Kata ya Mpitimbi wilayani Songea ambao unetekelezwa  gharama ya shilingi bilioni 1.9.
Mwenye suti ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua msukumo wa maji kwenye mradi wa maji kijiji cha  Lipaya wilayani Songea ambapo serikali imetoa shilingi bilioni 1.9 kutekeleza mradi huo ambao umemaliza kero ya maji kwa wananchi wa Kata ya Mpitimbi ambapo jumla ya wananchi  3,886 watanufaika na mradi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wananchi wa Lipaya wakati anakagua mradi  wa maji katika kijiji hicho unaotekelezwa na Serikali kupitia RUWASA.

Post a Comment

0 Comments