About Me

header ads

WADAU WA ELIMU WAKUTANA MKUTANO WA SITA IQEC 2026 DAR

Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akizungumza na wadau wa elimu kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Simon Nanyaro (kulia) akiwa kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) na baadhi ya viongozi katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Viongozi na wadau wa elimu wakiwa kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Mijadala ya elimu ikiendelea kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya wadau wa elimu wakishiriki Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akifafanua jambo kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wadau wa elimu wakishiriki Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wadau wa elimu wakishiriki Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wadau wa elimu kutoka nchi mbalimbali wakishiriki Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wadau wa elimu wakishiriki Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Mijadala ya elimu ikiendelea kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Mijadala ya elimu ikiendelea kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Washiriki wakichangia mada kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania walioshiriki kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Washiriki wakichangia mada kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.


Washiriki wakichangia mada kwenye Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality Education Conference (IQEC 2026) unaofanyika katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments