About Me

header ads

MPOGOLO: ONGEZEKO LA IDADI YA WATU NI CHANZO CHA UZALISHAJI WA TAKA NCHINI.

DAR ES SALAAM.


MKUU wa Wilaya ya ilala Edward Mpogolo amesema Ongezeko la idadi ya Watu ni Baadhi ya Changamoto zinazosababisha Uzalishaji wa Taka Ngumu.

Akihitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani katika Viwanja vya mnazimoja jijini Dar leo juni5,2026 Edward Mpogolo amesema kuwa kumekuwa na Changamoto ya Ukosefu wa Baadhi ya Vifaa kwabaadhi ya Makampuni yanayojishulighulisha na ukusanyaji wa Taka hali inayopelekea Ukusanyaji mdogo wa Taka kuliko zile zinazo zazalishwa.

"Dira ya Maendeleo 2050 inalenga kulinda Mazingira, nakuhamasisha Nishati safi yakupikia "Amesema Mkuu wa Wilaya ya ilala Edward Mpogolo.

Mpogolo Ameongeza kuwa moja ya malengo ya Dira ya Maendeleo 2050 ni kuifanya Tanzania kuwa yakijani.

Post a Comment

0 Comments