Home
About
Contact
About Me
Ashamotz
Home
Habari
Siasa
Michezo na Burudani
Home
Habari
RAIS MWINYI AWASILI UINGEREZA.
RAIS MWINYI AWASILI UINGEREZA.
FREEDOM TZ
April 06, 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini London, nchini Uingereza tarehe 6 Aprili 2025.
Katika uwanja wa ndege wa London Heathrow, Rais Dkt.Mwinyi amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe.Mbelwa Kairuki.
Rais Dkt.Mwinyi ataanza ziara yake ya kikazi nchini humo leo na kumaliza tarehe 9 Aprili 2025.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Popular Posts
Absa Yaonyesha Matokeo Bora ya Kipindi cha Kwanza cha Mwaka
August 07, 2024
MAAFISA UGANI WANAHITAJI MAFUNZO YA MARA KWA MARA KUHUSU TEKNOLOJIA NA MBINU ZA KISASA ZA KILIMO ZINAZOZALISHWA.
August 07, 2024
TANZANIA MWENYEJI WA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UONGOZI NA UTAWALA BORA
May 11, 2023
Featured Post
Habari
HABARI ZA JUU KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 06, 2025
FREEDOM TZ
June 05, 2025
0 Comments