About Me

header ads

MHE. NDERIANANGA ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO KATIKA MKUTANO WA TATU WA KIMATAIFA WA WATU WENYE ULEMAVU UJERUMANI

NA. MWANDISHI WETU BERLIN, UJERUMANI 03 APRILI, 2025

Matukio katika picha

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ametembelea na kujionesha shughuli zinazotekelezwa na taasisi mbalimbali kuhusu Afa za Watu wenye Ulemavu Duniani wakati wa maonesho yanayoendelea katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Watu wenye Ulemavu (Third Global Disability Summit) jijini Berlin nchini Ujerumani tarehe 03 Aprili 2025










 

Post a Comment

0 Comments