Timu ya Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam ( DAWASA) wakiendelea na zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro ikiwa ni shamrashamra ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania BaraBendera ya Taifa inategemewa kufikishwa kilele cha Mlima Kilimanjaro Leo, Desemba 9, 2024.


0 Comments