Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika leo Julai 8,2024 mkoani Tabarea.
Washiriki wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K akiwasilisha mada kuhusu maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya kwanza kwa wadau wa Mkoa wa Tabora.
Viongozi wa vyama vya siasa mbalimbali kutoka mkoani Tabora wakishiriki katika majadiliano wakati wa mkutano huo.
Viongozi na watu mbalimbali wakishiriki katika majadiliano wakati wa mkutano huo.

Tume inawatambua wazee wa kimila kama wadau muhimu katika Uchaguzi kwani husikilizwa na kuheshimika sana na jamii wanazoziongoza. Pichani ni wazee hao wa Mkoani Tabora wakiwa katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K (kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika leo Julai 8, 2024 Mkoani Tabora. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilikutana na wadau wake Mkoani Tabora kuwataarifu kuhusiana na zoezi la uboreshaji linalotaraji kuanza Julai 20, 2024 mkoani humo.Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K (kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika leo Julai 8, 2024 Mkoani Tabora. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilikutana na wadau wake Mkoani Tabora kuwataarifu kuhusiana na zoezi la uboreshaji linalotaraji kuanza Julai 20, 2024 mkoani humo.Katikati ni Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele na Kushoto ni Mjumbe wa Tume, Mhe. Magdalena Rwebangira.

*****
Na
Mwandishi wetu, TaboraTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia Julai 20 hadi 26,2024.
0 Comments