Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete ameshiriki kikao cha Baraza la Madiwani Cha Chama Cha Mapinduzi kuchagua diwani atakayegombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze kilichofanyika Chalinze ,mapema leo.#KaziInaendelea

Na. Jawadu Kinyobwa – Dar es salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepok…
Copyright (c) 2023 Ashamotz All Right Reseved
0 Comments