MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, alipofika katika Ofisi za (ZMBF) migombani kwa mazungumzo na kukabidhi mikoba 100 ya Skuli ikiwa ni ahadi yake aliyoitowa wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa (ZMBF) hafla hiyo iliyofanyika leo 28-3-2023 katika ofisi za taasisi hiyo migombani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

0 Comments